Hatimaye Tanasha Atambulishwa Rasmi kwa Familia ya Daimond jijiini Dar es salaam ambapo Mwanadada huyo ameonekana kufanyika surprise na Mpenzi wake Diamond Ambapo mwisho wa video hiyo hapo juu wameonekana pamoja wakipata chakula Cha usiku