MAREKANI
MWANAMUZIKI R.KELLY AKAMATWA TENA KWA TUHUMA ZA KUFANYA UNYANYASAJI WA KINGONO
-
Amekamatwa na Idara ya Polisi ya #NewYork kwa tuhuma za kuwasafirisha wanawake kwa ajili ya kuwatumikisha kingono. Ametiwa nguvuni wakati akiwa katika Jimbo la #Chicago
Mwanamuziki huyo wa miondoko ya R&B anatuhumiwa kwa makosa 13 yanayohusisha ukatili wa kingono dhidi ya Watoto
Hii ni mara ya 3 kwa R. Kelly kukamatwa, alikamatwa mara ya kwanza mwezi Februari kwa tuhuma za kuhusika na makosa 10 ya ngono
Mwezi Mei alikamatwa tena na kushtakiwa kwa tuhuma za kuhusika na makosa 11 ya unyanyasaji wa kingono ambapo kwa makosa hayo Robert Kelly yanaweza kupelekea kifungo cha hadi miaka 30 jela
Thursday, July 11, 2019
Home
/
Unlabelled
/
MAREKANI MWANAMUZIKI R.KELLY AKAMATWA TENA KWA TUHUMA ZA KUFANYA UNYANYASAJI WA KINGONO -
